HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

6 August 2009

BAADHI YA MAENEO YA DAR ES SALAAM MCHANA WA LEO

Jamani haya makubwa hili ni jiwe ambalo limo kwenye daladala likiwa chini ya siti kama abiria akija ashindwe kukaa akidhani ni kibovu kumbe lengo lao abiria wasimame matrafiki chini ya afande mpinga mmeona hili kweli tunatofautiana jamaa amejenga karibu na nyaya za umeme si mwingine ni yule ndege mwoga kuliko wote KUNGURU
Hiki ndio kituo chetu cha mabasi kinapendeza sana na kina ubora wa hali ya juu mnakaribishwa kusubili gari hapo mmeona!!!!
Hapa ni magaomeni kwenye mataa panavyoonekana wakati wa mchana
Foreni barabara ya morogoro wakati wa mchana

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers