Hakika nilihisi niko katika mabomu ya mbagala kwani ulitokea mlio mkubwa kijana aliyejulikana kwa jina la Philipo akiwa amegongwa na gari aina ya Canter T336 HELUFI ZA Mwisho azikufahamika ilipogongana na pikipiki yake.
Huyu ndiye Filipo ambaye amegongwa na Gari Hiyo lakini alivaa HELMET ajari za barabalani zinazidikuongezeka kwani mwendesha pikipiki alikuwa katika mwendo kasi kwa mujibu wa mashuhuda
Hawa ndio Baadhi ya mashuhuda ambao walikuwa wakijaribu kuangalia kinachoendelea mpaka sasa atujafahamu haki jamaa yetu huyu aliyegongwa ipo vipi
No comments:
Post a Comment