HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

13 August 2009

EXECUTIVE SOLUTION YAPELEKA MWAKILISHI BERLIN KATIKA MASHINDANO YA RIADHA YA DUNIA

Mkurugenzi wa Excutive solution bw Agrey Mareale akimkabidhi Bw Ibrahim Kyaruzi tikiti ya ndege amabye anakwea pipa kesho kwenda berlin ujerumani kuungana na timu ya taifa ya Riadha ambayo inashiriki michuano ya ubingwa dunia
Kampuni ya excutive solution limited imepeleka meneja habari wake Bw Ibrahim Kyaruzi ilikusaidia kutangaza vipaji vya wanariadha wa tanzania .mashindano hayo dunia makubwa pekee ambayo yanatoa fursa kwa wanariadha mashuhuri kutoka Nchi zote Duniani.
Mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo Agrey Mareale amesema kuwa Kyaruzi atakuwa akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kujulisha nini kinaendelea huko ujerumani. mashindano hayo yamenanza leo agust 13 na tanzania inawakilishwa na washiliki kumi
ambao ni Fabian Joseph Mita 5000
Dixon Marwa 10,ooo
Geturi Bayo -FullMarathon
Zakhia Mohammed -Full Marathon
Lucia Hombo -Full Marathon
Andrea Silvini -Full Marathon
Chiristopher Isegwe

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers