Mkuu wa Mkoa wa Dar Es salaam Mh Willian Likuvi Amezindua Rasmi mpango wa kuhakikisha kila TAXI inakuwa vitu vinavyotakiwa katika shughuri zake japokuwa zitakuwa zimepakwa rangi vilevile amesema kuwa TAXI yeyote ile ambayo itakiuka masharti itachukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kunyang`anywa leseni na amewatoa wasiwasi Madereva kuwa aimaanishi kuwa Gari zenye rangi tofauti na sehemu husika kuwa haitaruhusiwa kwenda sehemu isiyosajiriwa itakuwa aifanyaki kazi vilevile amewaasa wamiliki wa TAXI kuweka jina la dereva na jina la mwenye gari na nambari za simu pembeni ya magari vilevile kuhakikisha kuwa wenye magari wanaingia mkataba na wanyafakazi wao ilikuondoa usumbufu wakati wa kulipana.
No comments:
Post a Comment