Kulia ni Katibu mkuu wa simba sport Club Mwina Mohamed Kaduguda na Mwenyekiti wa Klabu Hiyo Hasan Dalali
 Uwanja wa kihistoria wa Uhuru uliopo jijini Dar es salaam Ndipo litakapofanyika tamasha la Simba Sports Club ,ambapo linatarajiwa kuanza saa kumi na mbili Asubuhi ambao ndio utakao kuwa muda sahihi wa kufungua milango hiyo vilevile kutakuwa na Burudani za aina  mbalimbali  na baadae kufuatiwa na Mechi kati ya Simba Sports Club na  Sport Club Vila ya Uganda  na Mgeni rasmi wa shughuri Hizo atakuwa ni spika wa Bunge wa  Jamhuri  ya muungano wa Tanzania MH Samuel Sita  Vilevile Rais  wa  timu ya Henry Joseph  Mr HENRIK MOHN Na Agent wa FIFA  GLENN SHILLER na AZZEDIN SUOD ,WA Grand Canarian Football Centre Norway. pia watakuwepo na wanatajiwa kufika muda wowote kutoka sasa
Viingilio VIP 50000 VITI 2000
MAIN STAND20000 -1500
GREEN STAND TSH 8000 VITI 4000MZUNGUKO TSH 3000-VITI 10000
 
 
 
No comments:
Post a Comment