Mwenyekiti wa chamijata mohamed kazingumbe akifafanua jambo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo hiii jijini Dar es salaam
Ndugu waandishi wa habari lengo letu ni kuandaa mashindano ya kitaifa ya michezo ya jadi ambapo tunatarajia kutembeza bakuli ili kuchangisha pesa ambazo zitasaidia kuendesha shughuri nzima za mashindano hayo na hivyo kuwaomba wafadhili wote kujitokeza wakiwemo TIGO ,NMB na wengine wenye mapenzi mema mashindano hayo ya taifa yamekadiliwa kufikia milioni hamsini na pesa za nauli ya watu nane ambazo ni milioni thelathini ambazo ni kwajiri ya kupeleka wanamichezo Nchini korea ya kusini ambapo nchi zaidi ya Thelathini zitashiliki mashindano ya taifa mwaka huu yatanyika mkoani DSM ambapo yataanza mwanzoni mwa mwezi oktoba na mwishoni mwa mwezi november
No comments:
Post a Comment