HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

4 September 2009

MICHEZO KWA PICHA NA SHABAN MPALULE

Mcheza gofu Sarah Denis akijiandaa kupiga mpira wakati wa michuano ya Zain Lugalo Fiddle yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya gofu vya TPDF Lugalo jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yanayodhaminiwa na Zain na kukutanisha wanagofu mbalimbali wa jijini Dar es Salaam . Mcheza gofu Angelo Mandolf akijiandaa kupiga mpira wakati wa michuano ya Zain Lugalo Fiddle yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya> gofu vya TPDF Lugalo jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yanayodhaminiwa na Zain na kukutanisha wanagofu mbalimbali wa jijini Dar es Salaam
Brigedia Generali mstaafu, Ernest Galinoma (kushoto) akimkabidhi mcheza Chediel Msechu, T-shirt ya Zain baada ya kuibuka mmoja wa washindi wa mashindano ya gofu ya Zain Lugalo Fiddle yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya gofu vya TPDF Lugalo jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yanayodhaminiwa na Zain na kukutanisha wanagofu mbalimbali wa jijini Dar es Salaam .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers