PRESIDENT JK KUFUNGUA MAZOEZI YA KIJESHI ARUSHA /TANGA
Captain wa jeshi la wananchi Mbota Mwikwabe Naibu Mkurugenzi wa habari wa JW akifafanua jambo kuhusu mazoezi ambayo yatajumuisha nchi za afrika mashariki katika mazoezi ya kijeshi yatakayo anza kuanzania tar 3 hadi 26 2009 zoezi hilo litaitwa mlima Kilimanjaro na litafungwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame vilevile watu mashuhuri watatembelea mazoezi hayo
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment