HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

9 October 2009

HIVI NDIVYO PRESIDENT JK ALIVYO TIMIZA MIAKA 59

Rais Jakaya Kikwete akipongezwa na wanawe Rashid Kikwete Chodo (aliyemshika mkono),Khalfan Kikwete, ( wapili kushoto) na Lulu Khalfan Kikwete ambaye ni mtoto wa mdogo wake. Aliyekaa pembeni nyuma ya Rais akiangalia ni Mama Salma Kikwete aliyeandaa hafla ya kifamilia ya kumpongeza Rais kwa kutimiza umri wa miaka 59 jana.
Rais Kikwete akizingumza na aliyekuwa Rais wa Ireland Mary Robinson ambaye sasa ni Rais wa Taasisi ya Realizing Rights, wakati Robinson alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar
Rais Kikwete akimlisha keki Mama Salma Kikwete katika hafla fupi ya kifamilia iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni kusherekea miaka 59 ya kuzaliwa kwake. (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers