HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

28 April 2010

HUYU NDIYE RAIS SIMFII BALI UNAMWENYEWE

JK akiifariji familia ya Marehemu Evaristi Semeni mtoto mwenye umri wa miaka 11 kumi na moja aliyefariki katika ajali ya kugongwa na gari juzi jioni katika kijiji cha Msoga ambapo yeye pamoja na watoto wengine wawili walifariki dunia.Semeni alikuwa mwanafunzi katika shule ya msingi Msoga. familia ya Marehemu Evaristi Semeni(11) mmoja kati ya watoto watatu walifariki kwa ajali ya kugongwa na lori katika kijiji cha Msoga wilayani Bagamoyo,juzi jioni. JK alizitembelea familia za marehemu na kuwafariji

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers