Mkurugenzi wa Mpoto Arts Production Inc Ltd Mrisho Mpoto akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa idara ya habari maelezo leo wakati akizungumzia shindano la Dar Slam Poetry Championship Festival linalotarajiwa kufanyika kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam jumamosi mei 29 ambapo wtatafutwa washiriki 20 kwa ajili ya kushindania nafasi 2 za washindi za washiriki watakaokwenda kuwakilisha Tanzania katika shindano la ushairi la Dunia la The Slam La Kour litakalofanyika katika visiwa vya Re Union
Katika mchujo huo wa tarehe 29 Mei mbali ya kushirikisha washairi mbalimbali kutoka jijini Dar es salaam pia zimealikwa shule kadhaa za Sekondari kutoka jijini ambazo ni Chang'ombe Sekondary na Zanaki Sekondary, katika picha kulia ni mkurugenzi wa Alliance Francies Didie Martin
fullshngwe.blogspot.com/ understand
No comments:
Post a Comment