HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

11 May 2010

MPOTO ANAPOZINDUA VIPAJI VYA KUGHANI MASHAIRI

Mrisho Mpoto na wageni wengine pamoja na vijana wa kaempu ya Pambazuko Plus wakipiga picha ya pamoja mara baada ya mazungumza hayo.
Mrisho Mpoto ambaye ni mshindi wa tatu wa mashindano ya Ushairi ya dunia 2009 yaliyofanyika nchini Ufaransa akiimba pamoja na wanakikundi wa Kempu ya Pambazuko Plus iliyoko Mbagala Charambe wakati alipokwenda kuongea nao juu ya kushiriki katika shindano la kuwatafuta wawakilishi wa shindano hilo katika visiwa vya Re-Union na hatimaye nchini Ufarasa yanayotarajiwa kufanyika mwaka huu. Mrisho amekaribisha vijana mbalimbali wale wanaochipukia katika sanaa ya ushairi na kuwaambia kila kitu kinawezekana ila muhimu ni wao tu kujituma wakati watakapoingia rasmi katika shindano hilo litakalojulikana kama (Dar Poert Slam Competition) linalotarajiwa kufanyika tarehe 29 Mei kabla ya mchujo utakaofanyika tarehe 22 Mei na kuwapata washiriki 20 watakaoingia kwenye fainali. fullshangweblogspot understand

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers