Sehemu ya Daraja la umoja lililopo eneo la mtambaswala,wilaya mpya ya Nanyumbu mkoa wa Mtwara lililofunguliwa na Marais Jakaya Mrisho Kikwete na Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji leo asubuhi(picha na Freddy Maro)
kwa hisani ya fullshangwe.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment