HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

14 May 2010

TUMEFANIKIWA

Mwenyekiti wa CCJ Mh. Richard Kiyabo akionesha risiti ya stakabadhi ya malipo ya kuwakilisha majina ya wanachama leo ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa jijini Dar es salaam Viongozi wa Chama Cha Jamii (CCJ) wakimkabidhi majina ya wanachama wa bara na visiwani kwa Mkuu wa Masijala katika ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, Bi. Mwajuma Amir. Kutoka kulia ni Naibu Katibu wa chama hicho kwa upande wa Zanzibar, Mh. Ali Hatibu Ali, Katibu Mkuu wa Chama hicho, Mh. Renatus Muabhi, Mwenyekiti wa Chama hicho, Mh. Richard Kiyabo na Katibu Mwenezi Taifa, Mh. Costantine Akitanda. Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika ofisi za msajili wa vyama vya siasa mtaa wa Shaaban Robert jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers