Aliyeshika kadi ni mjumbe wa kamati ya uchaguzi wa Dar es salaam young african Philemon ntahala kulia ni luis sendeu msemaji wa klabu hiyo na kushoto ni vicent mwalusako katibu mkuu wa kuajiriwa wa klabu hiyo ambao wanatarajia kuafanya uchaguzi wao wa kwa mchagua rais mpya wa klabu hiyo katika miaka minne ijayo ambapo sasa imani madega ameamaliza muda wake uchaguzi utafanyaika jumapili katika ukumbi wa PTA sabasaba jumapili hii
No comments:
Post a Comment