Ndoto za timu ya taifa ya Argentina zimeishia kwa kutokwa na machozi maara baada ya kukung'utwa mabao manne kwa sifuri (4-0) na Ujerumani katika hatua ya robo fainali na kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali huku miroslav kolse akifunga mawili na Thomas mueller na Arne fredrich wakifunga magori kila mmoja kuifikisha ujerumani nusu fainali.
No comments:
Post a Comment