Full Name: José Leandro Andrade
Date of Birth: Wednesday, 20 November 1901
Place of Birth: Salto, Uruguay
Date of Death: Saturday, 5 October 1957
Position: Midfield
José Andrade alikuwa moja kati ya mastaa wa kubwa katika timu ya taifa ya uruguay timu ambayo iliweza kutamba katika soka miaka ya 1920 na alikuwa mcxhezaji wa kwanza mewusi kucheza kufanikiwa kucheza soka ya kimataifa alifuraia maisha yake soka katika ngazi vilabu bora nchini uruguay lakini mafanikio makubwa yalikuwa katika timu ya taifa.
maisha ya Andrade katika ngazi ya klabu yalianza mwaka 1920 akiwa na club ya bela Vista na mwaka 1923 alikuwa moja kati ya wachezqji wa uruguay katika kikosi kilichoshinda michuano ya copa amrrica ushindi huo ulifwatiwa medali ya dhahabu 1924 katika michezo ya olimpics uliyochezwa huko paris ufaransa mwaka 1924 Andrade alihamia katika klabu ya nacional ya hukohuko ikiwa ni moja kati ya vilabu vikubwa nchini uruaguay alicheza mechi mia moja katika ligi kuu ya nchi hiyo
Mafanikio zaidi yalikuwa mwaka 1926 akishinda tena kikombe cha Copa America na wakawa washindi wa pili mwaka uliofuata Andrade alishinda medalai yake ya pili ya dhahabu mwaka uliofuata wakiwashinda mahasimu wao wakubwa Argentina hoku amsterdan uholanzi 1928
uruaguay baada ya kuonyesha uwezo mkubwa ikapata nafasi ya kwanza kuandaa michuano ya kombe la dunia mwaka 1930
mwaka 1930 ndio yalikuwa mafanikio ya mwisho kwa kwake katika soka ya kimatifa baada ya uruaguay kutoka nyumba marambili kuishinda Argentina kwa mabao manne kwa mawili ambapo ndipo uluipokuwa mwsho wa andrade kuaonkana kiwanjani kuchezea nchini ya ,baadae alistahafu kucheza soka ya kimataifa klabu nyingine ambazo andade amewahikucheza ni Peñarol
argentinos juiniors alistaafu soka mwaka 1936 ,Alikufa mwaka 1957 akiwa na miaka 55
VILABU ALIVYOCHEZA
Bella Vista (URU)
Mwaka: 1920-23
Mechi alizocheza : 71 Goals: 7 (league only)
Nacional (URU)
Mwaka: 1924-29
Mechi alizocheza: 105 Goals: 4 (league only)
Peñarol (URU)
Mwaka: 1930-34
Mechi alizocheza : 88 Goals: 3 (league only)
Team Honours:
Uruguayan League Championship (1): 1932
Wanderers (URU)
Mwaka: 1935
Mechi alizocheza : 17 Goals: 0 (league only)
Argentinos Juniors (ARG)
Mwaka: 1936
Mechi alizocheza: 21 Goals: 0 (league only)
INTERNATIONAL CAREER
Uruguay
Years: 1923-30
Appearances: 33 Goals: 1
Debut: 24/06/1923 v Argentina (A) D 0-0
Last Cap: 30/07/1930 v Argentina (H) W 4-2
Major Championships:
Copa América 1923 (URU): Winners (3 games, 0 goals)
Copa América 1926 (CHI): Winners (3 games, 0 goals)
Copa América 1927 (PER): Runners-Up (3 games, 0 goals)
Copa América 1929 (ARG): Third Place (2 games, 0 goals)
World Cup 1930 (URU): Winners (4 games, 0 goals)
Other Achievements:
Olympic Gold Medal (2): 1924, 1928 (not official internationals)
No comments:
Post a Comment