HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

15 July 2010

UKIYASTAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FILAUNI SIO WOTE WATUMIAO JINA LAKE WATAKWENDA MBINGUNI !!!

Ukiyastajabu ya musa utayaona fya filauni siyo wote waubilio neno lake wana imani zakweli wengine ni manabii wa uongo wadanganyao watu kuwa wana imani za kweli sasa kakobe anaidaiwa kumnyanyasa mama huyu pichani hivi kama ni kweli ni vigumu kumjua mtu atakae kwenda mbiguni kama anashika maneno ya mungu na kukunyasasa watu mungu huwa anaona mama huyu Alikuwa muumini wa zamani na kufukuzwa kwenye Kanisa la Kakobe (Full Gospel Bible Fellowship la Mwenge Mama Monica Mutasingwa (Kulia) na kushoto ni baba yake mzazi Bwana Tara Sariyael akiongea na waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu uonevu, Unyanyasaji , na uvunjwanji wa Haki za Binadamu unaofanywa na Kakobe akiwa ni kiongozi wa dini,kinyume na neno la Mungu linavyosema,na Uhubiri na Utakatifu anaofundisha Kanisani.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers