Katibu mkuu wa shilikisho la soka la kandanda Tanzania Frederick rameck lugano mwakabelebla ameaaga rasmi wana habari na kuwatakia kazi njema katika kazi zao za kila siku kwani yeye amekuwa akishikiana nao kwa njia zote aidha akasema analishukuru shilikisho la soka la kandanda la Tanzania kwani wamefanya kazi begabega na rais leodgar tenga na kuna mambo ambayo wameweza kufanya na ya po walisohindwa kuyafanya lakini tote ilikuwa katika kujenga zaidi na amewataka waendeleee kushika mana zaidi kwani watafanikiwa hata kama yeye hatokuwemo.
No comments:
Post a Comment