Huyu ndiye howard web mwamuzi aliyechezesha fainali kombe la dunia katika Espana na Nederland swala msingi mechi ambazo uchezeshwa na marefa wa kiingereza zinakuwa na balaa kiwanjanani refa huyu hakutoa kadi tatu kwa mtu mmoja kama ndugu rafiki yake Graham poll bali yeye alitengeneza kadi kumi na nne za jangwani na kadi mmoja kutoka msimabazi yaaani jangwani za njano msimbazi nyekundu
No comments:
Post a Comment