mama huyu anaitwa Mrs Jonhston Busingye cheo chake Principal Judge(First instant Division and president High Court of Rwana)
mama huyu anasema ipo haja ya kuangalia upya mchakato wa mzima kuingia katika jumuiya hii kwani zipo nchi hambazo hazifanani kwa lugha uchumi wa elimu kwani wakati mwingine unaweza kuingia katika mchakato huu unaweza kuingia katika swala ambalo hukulitegemea.
No comments:
Post a Comment