HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

20 October 2010

MAISHA MUSIC KUZINDUA MAISHA LOUNGE

Kutoka kushoto ni Jackob poll kwame mchaulu ambaye ndiye label manager carola kinasha mwanamuziki wa kizazi kipya na chazamani Hardmad walipokuwa wakitambulisha alabamu yao ya muziki wa Lounge jijini Dar es salaaam. Maisha music lounge vol 1 ni totleo jpya kabisa la muziki maridhawa katika mtililiko wa matoleo mengine mbalimbali lounge ni aina ya muziki wa taratibu ambao unatumika katika maeneo hususa katika mahoteli makubwa hata katika baadhi ya maofisi albamu hii imerekodiwa katika studio za 41 records na maisha studio chini ya Jakob poll nakufanyiwa maboresho nchini Denmark katika studio za c4 na red red wasanii walioshiriki katika albamu hii ni pamoja Rya c . Bi shakila, Lord eyes,Misoji mkwabi ,Hardmad,carola kinasha,Fid Q na lufu uzinduzi wa albamu hii utafanyika the waterfront slipway sikun ya ijumaaa tarehe 22 oktoba kunzia saa 12 jioni hadi saa 3 usiku na utakuwa wakati wa uzinduzi wa jukwaani rasmi saa kumi na mbili na jioni

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers