
Huyo ni cristiano ronaldo akimpiga mpira wa adhabu dead ball akiifungia timu yake bao la kwanza dakika mbili baadae mesut ozil akaifungia timu yake ya real goli la pili japokuwa mpira ulimgonga bonera

wajerumani wameimaliza fc cluj mabao matatu kwa mawili katika michuano hii ya mabingwa barani ulaya

naam hapo emirates stadium arsenal imeilaza shaktar donestk 5-1 katika michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya
No comments:
Post a Comment