HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

25 October 2010

TUKO PAMOJA NA WENZETU KATIKA MSIBA HUU

Rais wa shirikisho la kandsanda la tanzania leodegar chila amesema wapo pamoja na wenzao wa kenya kwa msiba walioupata katika mechi ya ligi kuu soka ya nchi kati ya gor mahia na afc leopard ambapo watu saba walikufa baada ya kutokea fujo kiwanjani hapo ameskuwa wametuma salamu za rambi rambi tayari na waanaamini mambo yatakuwa sawa hivi karibu na kusisitiza kuwa wapo pamoja nao,aliyevalia flana nyekundu ni mtangazji wa clouds fm ibrahim masoud kulia kwa tenga na kushoto anayeonkeana mkono ni sunday kayuni mkurugenzi wa ufundi tff

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers