HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

22 October 2010

TWIGA STARS AINA CHA KUPOTEZA BENDERA !!

Naibu waziri wa habari utamaduni na michezo joel nkaya bendera akimkabidhi nahodh wa timu ya taifa sophia mwasikile bendela ya jamhuri ya muungano wa tanzania na cd ya wimbo wa taifa kupesha yaliyotukuta na moroco alipokua akiiga leo katika ukumbi wa tff timu hiyo inaondoka leo kwnda gaborone botswana kucheza mechi ya kirafiki na botswana na baadae kulekea nchni afrika kusini kushiliki michuano ya mataifa ya frika ya wanawake yanayoanza mwezi nomvemba mwaka huu,nyuma mh bendera mkurugunzi wa ufundi wa tff sunday kayuni
viongozi wa timu ya taifa chales boniface mkwasa ambaye ni kocha mkuu wa timu anayeonekana mikono,anayefuata mwenyekiti wa chama cha soka vcha wanawake lina madina mhando anayemfuta ni naibu waziri joel bendera ,mkurugenzi wa ufundi wa tff sunday kayuni na na brand manager wa serengeti breweries nandi mwiyombera ambaye amekabidhi cheya pesa kwa wiga stars yenye thamani ya shilingi 97,13,500 kwa msafara wa tmu hiyo
naibu waziri anamkabidhi sophia mwasikili pesa walizo afiwa na wabungewa jamhuri ya muungano wa tanzania milioni na nane laki tisa na kumi.
hii ndio jezi itakayo tumika huko afrika kusini kwa twiga stars.
hawa ndio wachezaji wa twiga star wanaokwenda kutuwakilisha katika michuano ya mataifa ya afrika kule nchni afrika kusini

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers