HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

30 October 2010

UTATA MTUPU GOLI LA LUIS NANI DHI YA SPURS

Kiungo mshambuliaji wa manchester united akishangilia goli la utata katika mechi ya ligi kuu ya uingereza ambako man u imeizamisha toternham hotspurs magoli mawili kwa sifuri lakini totenham walimshtumu mwamuzi kwa kusema kuwa alikuwa goli sahihi mwamuzi wa mchezo huo  Mark Clattenburg alimfwata msaidizi ambaye aliinyoosha kibendera kuashairia mkanganyiko usiolewa weka lakini manchester ilibidi ipewe pernaty lakini wakati nani akiwa chini alikamata mpira kwa mkono huku kipa wa spurs akiamni kuwa ampewa free kick na kuuachia mpira wake kwenye mikono na luis kuunyatia mpira  na kufunga . matokeo mengine ni • Arsenal 1-0 West Ham United • Blackburn Rovers 1-2 Chelsea • Everton 1-0 Stoke City • Fulham 2-0 Wigan Athletic • Wolverhampton 2-1 Manchester City • Manchester United 2-0 Totenham hotspurs

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers