HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

30 October 2010

KAZI YA MUNGU AINA MAKOSA

Kocha msaidizi wa timu ya Simba, super coach, Syllersaid Mziray amefariki dunia leo asubuhi akiwa katika hospital ya Aga khan alikokuwa amelazwa.kocha huyo maarufu ambaye alikuwa mshauri mkuu wa simba alifikwa na umauti huo baada ya kuugua kwa muda mrefu. kwa habari zaidi ungana nasi baadaye  Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Amen. K-sport inawatakiwa pole familia ya mziray na wadau wa soka kwa msiba huu

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers