pichani ni Lucie w.k Malu meneja wa kenya airway tanzania na anaye mfuata ni nahodha wa golf gymkahana joseph shango.
Kampuni ya kenya airway imejitolea kudhamini michuano ya wazi ya gof itayofanyika tarehe kumi na tatu mwezi november katika viwanja vya gymkhana vivyopo jijini dar es salaam ambapo jumla ya wachezaji mia moja watoka katika kila nchi ambapo kenya ndege hiyo hupita washindi wawili mwanaume na mwanamke watakwenda kenya kushiriki michuano ya kenya open ambapo mchezo wa golf ni moja kati ya michezo itakayo kuwemo katika michezo ya olympic ijayo nchini uingereza.
No comments:
Post a Comment