9 November 2010
KASEJA PUNGUZA MAMBO HAYO POULSEN ATAKUMWAGA HAWAUNDUGU HAO
KIPA WA SIMBA JUMA KASEJAAdhabu inayomkabili kipa wa simba JUMA KASEJA ipo palepale baada ya shirikisho la soka nchini TFF kupitia mkurugenzi wa ufundi SUNDAY KAYUNI kusema kuwa karatasi aliyowasomea waandishi ilikuwa imekosewa kuandikwa kuwa KASEJA hakusalimiana na mgeni rasmi, bali KASEJA alipomaliza kumtambulisha mgeni rasmi alikimbilia kwenye benchi kwa kukwepa kusalimiana na wachezaji wa YANGA.
picha janejohn 5 blogspot.com/
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment