16 June 2012
TWIGA 0-1ETHIOPIA
Mchezaji wa timu ya Twiga Stars Mawanahamisi Omary akiondoka na mpira kuelekea goli la timu ya wanawake ya Ethiopia huku mabeki wa timu hiyo wakiwania mpira huo katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za kombe la mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwaka ujao, mchezo huo umefanyika kwenye uwanja wa Taifa wa Dar es salaam jioni hii.
Mpira umekwisha ambapo Twiga Stars imefungwa goli moja kwa bila na timu ya wanawake ya Ethiopia na kuwasukumiza nje ya mashindano hayo , Timu ya wanawake ya Ethiopia ilikuwa ikifanya mashabulizi mengi na ya nguvu katika lango la Twiga Stars kwa muda mrefu na dalili zilionyesha kwamba wataweza kupata goli pamoja na kwamba walikuwa wakicheza ugenini fullshangwe picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment