Ukiwa kama msomi katika mpira wa miguu wanachokifanya makocha hawa ingekuwa wazawa wangepewa tuhuma nyingi sana na kazi wangepoteza kwa kuwa ni wazungu hii ni desturi yao pengine tujifunze kwa hawa unaposhindwa unakubari vile vile kubadilisha mawazo wazawa na viongozi wa vilabu tujifunze hili
No comments:
Post a Comment