HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

22 August 2012

Di Mateo Aipa heshima Reading

 

Robeto Di Mateo Kocha mkuu wa timu ya soka ya Chelsea azungumzia ugumu wa mchezo wa leo dhidi ya reading mechi itakayo chezwa saa nne kasoro saa za afrika mashariki katika  uwanja wa Stamford Bridge.
Kiungo wa timu ya soka Chelsea  Ramires atapangwa leo dhidi ya Reading baada ya kupata nafuu ya ugonjwa ambao ulimweka nje siku ya jumapili ambapo timu hiyo  ilishinda dhidi ya wigan  mabao mawili sifuri  ,  Marko Marin bado ni mgonjwa amekuwa na majeruhi ya msuri  kiuong wa raeding Jem Karacan atakosa mechi ya leo baada ya kushindwa kupata nafuu ya  maumivu ya msuri  . Mshambuliaji  Jason Roberts anatumikia adhabu  wakati  Jimmy Kebe naye ni mgonjwa huku akisumbuliwa na mauimivu ya msuri  .mlinda mlango mpya wa timu hiyo  Stuart Taylor nimzima lakini hakuna uwezekano wa kuanza katika mechi ya leo  
MUONEKANO WA MECHI

Kiungo mchezeshaji wa Chelsea ,Eden Hazard  amekuwa katika kiwango chake cha juu tangu msimu wa ligi ya premier kuanza msimu huu mchezaji huyo amenunuliwa kwa pauni 32milion Mateo ana amini kuwa mchezaji huyo atafanya makubwa zaidi ya pesa aliyonunuliwa  
Hazard alitengenzea pasi mbili katika uwanja wa DW Stadium ndani ya dakika saba za mwanzo wa mchezo vilevile mchezaji huyo atavaa jezi ya Chelsea katika mchezo wa kuwania kombe la ufunguzi wa klabu bingwa barani ulaya ijumaa ijayo.  Reading inaingia kiwanjani leo hii ikiwa na changamoto ya kushindwa takriban mechi tisa katika jiji la London huku ikifungwa  mechi tatu za mwisho,  Klabu hiyo imeshinda mechi mbili tu katika kumi na tisa za ugenini msimu wa 2007/08 na kufungwa mechi kumi tatu ,Timu hiyo ambayo jina la utani ni wafalme wamepoteza alama  saba kuliko timu nyingine yeyote katika ligi ya daraja la kwanza nchini humo katika msimu wa mwaka jana ambapo timu hiyo imepanda daraja..

TEGA SIKIO HAPA
 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers