HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

9 August 2012

Ulinzi yatinga fainali nane bora wakati Gor kucheza kesho wakiwa wanaongoza kwa ushindi finyu wa moja sifuri mechi ya kwanza

Pichani  ni Mchezaji wa timu ya Gor Mahia’s Rama Salim  Akishangilia baada ya kufunga goli dhidi ya Nairobi city stars katikaa mechi ya ligi kuu ya kenya iliyochezwa july 21 amabpo kesho Gor Mahia itacheza na Mathare united katika hatua ya nusu fainali nane bora     
Timu ya soka ya Ulinzi Stars jana jumatano imeingia katika hatua Nusu fainali ya nane baada ya mwamuzi  Ogwayo Anthony  akusimamisha mpambano huo katika dakika ya 75 Baada ya mchezaji wa Sony Sugar kuumia wanajeshi hao walikuwa wakiongoza kwa mabao mawili kwa bila
Sony ilirudisha goli moja goli lilofungwa na Ishmael Dunda katika Dakika ya 80 ya Mchezo Mchezo uliopita ulichzwa katika uwanja wa kasarani ambapo timu hizo zilitoka goli moja moja jumatano iliyopita ihii ilikuwa mechi ya pili ya nusu fainali
 Gor Mahia itawakaribisha Tusker Katika kiwanja cha jiji la Nairobi saa kumi jioni katika mechi ya Marejeano huku ikiwa inaongoza goli moja kwa bila iliyopata katika mechi ya kwanza..
goli lililofungwa na Ivan Anguyo  kwa tuta la dakika araobaini katika uwanja wa wa michezo wa kimataifa wa Kasarani jumatano iliyopita.
K’Ogalo won the first leg via a 40th-minute penalty scored by Ivan Anguyo at Moi

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers