Klabua ya soka ya Arsenal Haita muuza robin Van Persie (29) cini ya pauni milioni ishirini na itaongeza milioni juu kama Man utd itamtaka kumnunua mchezaji huyo
Aidha Mholanzi huyo amepewa ahadi ya kulipwa pauni laki mbili na ishirini ambapo naye atakuwa mchezaji anayelipwa ujira mkubwa zaidi hapo old traford ambapo kwa sasa anayepokea ujira mkubwa ni Wayne Rooney .
Liverpool wanamuuitaji winga Adam Johnson kwa mkopo na malipo ya pauni milioni 23 kumuachia mlinzi Daniel Agger kujiunga Man city.
Aston Vila imempa ofa ya mkataba wa miaka mitatu beki wa italia Simone Farina mwenye umri wa miaka 30 ambaye amvutia mkufunzi wa wa timu hiyo Paul Lambert alipokuwa akicheza katika ligi ya serie B Gubbio.
Tottenham imeripotiwa kutaka kumsajiri kiungo wa partizan Belgrade Mohamed Kamara mwenye miaka ishiri na nne
Mkufunzi wa klabu ya Blackburn steve Kean amesema yu karibu kufanikisha kumsajiri kwa mkopo mchezaji wa kimataifa wa uturuki Colin Kazim Richards mwenye miaka 25 ambaye kwa sasa yupo katika klabu ya Galatasaray
.
No comments:
Post a Comment