HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

8 September 2012

ACHENI NIMALIZE MUDA !


 

Rais wa Shirikisho la kimataifa la soka Duniani Fifa inaonekana Dhahiri kuwa hatogombea tena kiti hicho  mwaka 2015 Alipohojiwa na shirikia la utangazaji la BBC amesema kwa sasa anafanya kazi ambayo aliianza miaka miinne iliyopita na akasisitiza ya kuwa ikifika mwaka 2015 atakuwa anatimiza miaka 79 na atakuwa amehudumu fifa kwa zaidi ya miaka ishirini aidha ametupiria mbali madai ya kutoa na kupoea rushwa katika chaguzi ya fifa kwa kusema nilichaguliwa na wajumbe sasa ulitaka nikatakae ninachofanya sasa ni kazi niliyo ianza acha nimalize muda wangu wa kuhudumu fifa hayo mengine tutajua muda utakapo fika  .


SIKIZA HAPA


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers