HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

8 September 2012

DIABY APEWA FRONT PAGE WAVUTI YA ARSENAL KWA KUIFUNGIA GOLI UFARANSA 2014


Player Profile - Abou Diaby Abou Diaby, Olivier Giroud NA  Laurent KoscielnyFinland 0-1 France
France v Belarus, September 11

Abou Diaby Amefunga goli pekee wakati france ikiifunga finland 1-0 . Laurent Koscielny  Olivier Giroud hawakucheza kabisa na watakuwa tena kazini juamanne Dhidi ya  Belarus.

Player Profile - Theo WalcottPlayer Profile - Alex Oxlade-Chamberlain
Theo Walcott and Alex Oxlade-Chamberlain
Moldova 0-5 England
England v Ukraine, September 11

Alex Oxlade-Chamberlain Amecheza dakika  58katika ushindi wa mabao 5 kwa bila Dhidi   Moldova ijumaa ,kabla ya kumpisha   Theo Walcott. wachezaji hao wa  Arsenal nao watarejea kazini jumanne dhidi ya  Ukraine.
 
Player Profile - Lukas PodolskiPlayer profile - Per Mertesacker
Lukas Podolski na Per Mertesacker
Germany 3-0 Faroe Islands
Austria v Germany, September 11

Per Mertesacker alicheza dakika zote  90 , lakini  Lukas Podolski aliingia dakika 75th-.
 
Player Profile - Santi CazorlaSpain
Santi Cazorla
Spain 5-0 Saudi Arabia
Georgia v Spain, September 11

Santi Cazorla huyu alifunga goli la kwanza dhidi ya  Saudi Arabia 5-0 katika mechi ya kirafiki ijumaa. atakuwa tena kazini Jumanne dhidi ya Georgia 
Player Profile - Thomas VermaelenBelgium
Thomas Vermaelen
Wales 0-2 Belgium
Belgium v Croatia, September 11
Thomas Vermaelen Amecheza dakika 90 katika ushindi wa mabao mawili kwa sifuri Belgium's 2-0 Dhidi ya  Wales jumanne ni dhidi ya  Croatia
 
 


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers