Hapa waandishi waliamua kuigiza mbele ya polisi ni imani yetu kuwa hata wao watakuwa wamesikia uchungu wa aibu kwa kitendo hicho RIP DAUDI MWANGOSI
SOMA MWENYEWE SINA HAJA YA KUSIMULIA
Walikuwa wengi, hivi ndivyo waandishi tunavyoumia katika kukuletea habari wewe msomaji je unaona hari hii usicheke leo Mwandishi Kesho zamu yako.
No comments:
Post a Comment