Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza John Terry ameatngaza kustaafu kuchezea Timu ya taifa ya Nchi hiyo baada ya kuichezea mara 78 katika miaka tisa
Terry, 31, amesema ameamua kufanya hivyo huku kamati ya nidhamu ya chama cha soka cha nchi kikiwa bado kinasikiliza kesi ya kumtolea maneno ya kibaguzi
Anton Ferdinand.
Beki huyo wa Chelsea hakukutwa na hatia katika mahakama moja huko Westminster Mwezi July kwa makosa ya kumtukana Ferdinand.
Amesema kuwa FA Kusikiliza tena kesi yake kumeifanya nafasi yake katika timu ya taifa kushindwa kuibadilisha katika maamuzi nasihi FA wanataka kuindesha tena kesi ambayo tayari nilisha kuwa huru, mahakama imeniweka kuwa huru kwa mujibu wa sheria na wameifanya nafasi yangu na timu yataifa kuwa ngumu zaidi.
No comments:
Post a Comment