HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

13 September 2012

LIGI KUU ZANZIBAR

Mshambuliaji wa timu ya Mundu Mfanyaje Mussa, akipiga krosi katika lango la timu ya Chuoni Mwadini Yussuf, katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt, uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Chuoni ilishinda magoli mawili kwa moja  2--1. 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers