HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

29 September 2012

MIJI KUMI NA MOJA NA VIWANJA KUMI NA VIWILI KUTUMIKA KOMBE LA DUNIA MWAKA 2018



Jumla ya miji kumi na moja na viwanja kumi na viwili  kutumika katika mechi sitini na nne za fainali za kombe la dunia 2018 Katika michuano ya Kombe la Dunia itakayo fanyika Urusi .

imewekwa wazi usiku wa kuamkia leo  katika sherehe zilizofanyika mbele ya waziri wa michezo wa Urusi na Mwenyekiti wa kamati ya kusimamia mashindano ya kombe la dunia ya nchi hiyo   (LOC), Vitaly Mutko, na Rais wa shirikisho la kimataifa la mpira wa miguu  FIFA Joseph S. Blatter, Ambapo ilirushwa moja kwa moja na kituoa cha Runinga cha Urusi  Channel 1 .

Moja kati ya wageni walio hudhuria sherehe hiyo ni Katibu mkuu wa shirikisho la soka Duniani  
Jérôme Valcke, na Kocha mkuu wa Timu hiyo   Fabio Capello, na Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil na Msindi  wa kombe la dunia mwaka 2002 Raia wa Brazil’s  Roberto Carlos.

Miji hiyo imegawanywa katika maeneo ya kijiografia huku Moscow mji pekee wenye viwanja viwili 
Luzhniki na  Spartak (ambao ipo katika ya nchi ); St. Petersburg na Kaliningrad (kaskazini mwa Urusi ); Nizhny Novgorod, Kazan, Samara, Saransk na  Volgograd (Magharibi  ); Rostov-on-Don na  Sochi (Kusini mwa Urusi ) Bila kusahau  Ekaterinburg. 

 Kamati kuu ya FIFA imepitsha viwanja hivyo ijumaa na Ratiba ya michuano hiyo itapangwa hapo badae 
. Michuano hii ambayo inafanyika Ulaya mashariki kwa mara ya kwanza imekuwa changamoto kwa fifa na maendeleoa kiujumla na hasa  kuongeza urafiki katika kimichezo hasa kwa watu wa ulaya mashariki alisema Blater tumefurahishwa na kasi ya maandalizi na imefanikiwa vya kutosha kwa na kujikita katika majumuku kikakamilifu 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers