Shirikisho la Ngumi la
Kimataifa IBF lenye makao yake makuu katika jiji la New Jersey, nchini Marekani
kupitia ofisi zake za Afrika, Mashariki ya Kati, Ghuba za Uarabu na Uajemi
linachukua fursa hii kuwapongeza wadu wote wa ngumi wanaosaidia kuuendeleza
mchezo huu hapa Afrika.
IBF inachukua fursa hii
kuwapongeza wafuatao kwa juhudi zao binafsi katika kuchangia kuuendeleza mchezo
wa ngumi za kulipwa:
Afrika ya Kusini: (Branco Milenkovic). Zambia:
(Captain John Chewe, Anthony Mwamba). Zimbabwe:
(Richard Hondo), Ghana: (Henry
Mann-Spain, Michael Tetteh), Nigeria: (Ken
Biddle), Ivory Coast: (John Ajaba). Misri: (Richard Nwoba), Oman: (Amin Saad Bait-Mabrook), Tanzania: Gabriel Nderumaki, Lucas
Rutainurwa, Titus Kadjanji, Fidel Haynes, Yassin Abdallah (Ustaadh), Nemes Kavishe,
Boniface Wambura, Godfrey Madaraka Nyerere, Shomari Kimbau pamoja na Msajili wa
Wizara ya Mambo ya Ndani, BMT, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, BIDCO,
Pepsi, Vyombo vyote vya habari vya magazeti, Radio, Television, Blogs na Websites
pamoja na wengine wote ambao wamesaidia kwa njia moja au nyingine.
IBF inaamini kuwa
ushirikiano wetu wote utasaidia kuuendeleza mchezo wa ngumi za kulipwa na kuwezakujenga
ajira nyingi kwa vijana wan chi zetu.
No comments:
Post a Comment