HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

11 September 2012

SIMBA KUGOMEA LIGI KUU

  
Klabu ya soka ya Simba usiku huu kupitia kamati ya utendaji inaketi usikuu kujadiri kama ishiriki ligi kuu ya tanzania bara au isishiriki baada ya kutokulizishwa na maamuzi yaliyotolewa na kamati ya katiba na sheria ya Tff kupitia Mwenyekiti wake  alex Mgongolwa kuwa haijaitendea haki kwa kufanya maamuzi yanayokinzana na vile wanavyoona wao inafaa Mwenyekiti wa klabu hiyo  Rage ameshetumu waziwazi kuwa kuna baadhi ya watu katika shirikisho la mpira la kandanda tanzania wanatumia fedha chafu kuharibu soka ya tanzania amesema kikao wanachokaa leo kufukia saa kumi kesho jioni watatoa jibu kuhusu kushiriki ligi ama kuto kushiriki ligi



No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers