HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

24 September 2012

TIMU YA FILBERT BAYI YATWAA UBINGWA WA MPIRA WA PETE MBELE YA NAIBU WAZIRI WA ELIMU PHILIPO MLUGO MKOANI MBEYA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjKiaZrYEvt23qRM6id-Ryp4wis1M1SyOTRaxb20jND1vHFCTg8yH7sGMemiFeBzLpDcQD9X8_mrUHFvG3-EFwgE3IZHlTTeUlC-YIGTF5Z272UUai2-cV3u7Z29ZawJYo7GaDN0YDhtVY/s640/IMG-20120924-WA0015.jpg 

Mheshimiwa Naibu Waziri wa elimu wa kwanza kulia akitazama mchezo wa mpira wa pete   na Mama Anna  Bayi , katika mechi kati ya JKT star na timu ya Mbweni wakitafuta mshindi wa tatu ambapo Ushindi wa kwanza ulikunyakuliwa  timu ya Filbet Bayi(Picha na Mbeya Yetu )
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEglCgaVvbDOqW6rJwld65CldTLabSwqhvUQobwsFYiuCXzpGKJO0eDkILGFykCHDdJFYdFcmoYcGKE6p6oVkhCDF9MMliL9djdWUa9TGGsil-Ose_G8dfTiHyqJmGnRA4kY0DeP4vbs6z0/s640/IMG-20120924-WA0016.jpg 
 Mechi ya Ligi Daraja la kwanza mpira wa pete ikiwa inaendelea   (Picha Na Mbeya Yetu)

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiNq5NLIi9leTqmHpFPV7hsRC107gGq8BpBhM0DJObnXwaXSkfHpZUvzuGI0u93e8MEGl8U5FXg2tGXUwMeJyudOU8opGVZoi8fDB6Gp7bWfkLZaem5z6xNyt9XuD2ucscxTNDhHgy8wTo/s640/IMG-20120924-WA0020.jpg 
 Mwanaidi Hassani wa kwanza kushoto akiwa na mgeni rasmi na inaonekana kama Mh ataka kuchukua moja kwa zote kwa jinsi walivyokaa .(Picha Na Mbeya.)

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7mmxTcKTL2mTaOO_nlmTO1_cRkReMRIN4QThvtZFcaqzVQWNRggLTggiPOOWH3FuUg9eHAVq-Wsbw1uK7TFX1jjdu-oThDr4BFeRCZYb_3kFPi-6094-upXS_6srU8vfGBiVtqa1pKhI/s640/IMG-20120924-WA0018.jpg 
Hapa ni mgeni Rasmi NAIBU WAZIRI WA ELIMU PHILIPO MLUGO akipeana  mkono na waamuzi wa mchezo wa mpira wa Pete (Picha Na Mbeya Yetu)

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers