Mwaka 2020 kutafanyika michuano ya mataifa ya Ulaya David Bernstein Ni mwenyekiti wa chama cha soka Cha Uingereza FA amesema watakitumia kiwanja hicho kama moja ya kigezo katika mchakato wa kutafauta nchi mwenyeji wa mashinadno hayo Rais wa Shirikisho la mpira wa Ulaya UEFA Michel Platini, Alitoa wazo kuwa michuano ya Ulaya ijayo ifanyike katika nchi tofautitofauti ili kuipa kila nchi radha ya kupata kuandaa michuano hiyo kwa kuzipa baadhi ya Mechi ambapo swala hilo linatarawajia kufanyika katika miaka nane kama wazo litapita ambapo mwezi december kutafanyika majadiliano zaidi
Mwenyekiti wa FA David Bernstein amesema kuwa kama lengo litakuwa ni hilo basi sisi tutagombea zaidi kuanda nusu fainali na fainali katika uwanja wetu wa wembley FA ilishindwa kufanikiwa kundaa fainali za kombe la dunia mwaka
2018, Bernstein amesema ameeleza kuwa hawako tayari kwa sasa na hawapendelei kupoteza pesa nyingi na kunyimwa katika mazingira tatanishi kama ilivyotokea mwaka uliopita .
No comments:
Post a Comment