Kaimu katibu mkuu wa Yanga Lawrence Mwarusako. |
Kaimu Katibu mkuu wa Dars eS Salaam Young African Lawrence Mwalusako, Amekiri kuwa klabu yao inaidaiwa na Aliyekuwa kocha Mkuu wa Timu hiyo Kostadin Papic huku akisisitiza kuwa kwa kumbukumbu zake alizonazo kichwani zinasema kuwa pesa hizo ni milioni tatu na sio pesa ambazo kocha huo amedai katika taarifa iliyotolewa na shirikisho la soka la Tanzania kutoka katika shirikisho linalosimamia mpira wa miguu Duniani FIFA Ambapo klabu hiyo inakabiliwa na fedheha kubwa ya madeni yasiokwisha kufukuza kocha mara kwa mara na kuharibu hata heshima ya Tanzania kwani imekuwa ikitimua makocha jinsi inavyojiskia hadi kufikia kufukuza sekretarieti nzima ya klabu hiyo mara ya baada ya kung'ung'utwa mabao matatu kwa sifuri na Timu ya mtibwa sukari ya Morogoro .
SIKIZA HAPA
No comments:
Post a Comment