Msichana mwenye miaka Ishirini na mbili Angel Eaton kutoka Tanzania anaongoza katika mashindano ya Ridhaa ya Golf kwa alama 73 katika mashindano ya Ridhaa ya wanawake yanayofanyika huko Uganda ambapo mpaka asubhi ya leo alikuwa akiongoza kwa alama 72 katika kiwanja cha Kitante
Bingwa Mtetezi Flavia Namakula alipiga mipira minne kati ya sabini na sita na hivyo kuhitimisha raundi yake ya tatu ambapo ataendelea tena hapo kesho , MTanzania Hawa Wanyeche alikuwa wapili mara katika mizunguko mitatu ya mwanzo na kupata alama par 75
Watanzania ndio waliionekana kumiliki siku ya leo huku Iddy Madina na Ayne Magombe wakikamilisha nafasi tano za juu huku wakipiga mipira minne nakuapata alama 76 wakati mwenzake akipiga mipira sita na kupata alama 78 kwa upande wa wanawake .

Mashindano hayo yataendelea tena kesho kwa mchezo kwa wa wachezaji wawili wawili
mashindano haya ya siku tatu yanadhaminiwa na Ndege ya Qatar Airways ,Crown Beverages,Fresh Diary,Nile Breweries,Housing Finance,Orange,MTN,Leading Edge,Soothing Spa,Hwang Sung,Jireh Beauty Products,Saint Augustine University na Alberto Disco.
Mashindano ya Ridhaa ya golf kwa wanawake
Siku ya Kwanza 1
A. Eaton 73 gross
H. Wanyeche 75
F.Namakula 76
I. Madina 76
A.Magombe 78
D.Naik 78
L.Chingono 79

No comments:
Post a Comment