Mhispaniola Dani Pedrosa Ameshinda katika mashindano ya kuendesha pikipiki baada ya kumshndana raia mwenzake waa hispania Jorge Lorenzo na kushinda mashindano ya Japanese Grand Prix katika mwaka wa pili mfululizo .
Ushindi huu wa nne ummemfanya Pedrosa kusaliwa na alama 28 nyuma Dereva wa Yamaha huku kukiwa kumesaria mizunguko mitatu sasa anatakiwa kusubiri Lorenzo Achemke.
Alvaro Bautista' amabaye ameshika nafasi ya tatu katika tumu ya honda alikuwa mhispania mwingine ambaye ambaye alishika nafasi moja nyuma ya Lorenzo katika mzunguko ulijojuriakana kama Motegi's
Lorenzo, amabye ni bingwa wa mwaka 2010, alishindwa kumaliza vema sahari hii japkuwa alikuwa akiongoza katika hatua za mwanzo kama hajapitwa na Pedrosa.
Hii ni mara ya tano kwa Lorenzo kushindwa kufanikiwa kushinda katika hatua ya mwisho mara ya mwisho aliyofanikiwa kushinda ilikuwa mwaka 2012 mashindano hayo yalipofanyika Qatar.

No comments:
Post a Comment