Mchezaji wa Mpira wa miguu wa Timu ya Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania Juma Nyoso kulia akiwa wakiomba Duwa kwa ajili ya bondia Thomas Mashali katikati wa pili kulia ni msanii Maarufu wa bongo Fleva Josephe Haule Pr. J ambapo walikwenda kumpa kampani bondia huyo na kufanikisha ushindi wake na kumuenzi muhasisi wa taifa hili baba wa taifa.
Bondia Medy Sebyala akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na bondia Thomas Mashali wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati Mashali alishinda kwa point
BONDIA THOMAS MASHALI kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi na MEDY SEBYALA wa Uganda wakati wa mpambano wao uliofanyika kwa ajili ya kumbukumbu ya baba wa taifa Mashali alishinda kwa Point.
Mbunge wa Kinondoni Iddy Azani akiwa katika picha na Bondia Thomas Mashali baada ya kuvishwa ubingwa wa Afrika Mashariki .
No comments:
Post a Comment