Bingwa Abdallah Yusuph Idd toka Lugalo club wa Mwl Nyerere masters golf 2012 akikabidhiwa zawadi zake na mgeni rasmi Mark Bomani kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es salaam.
Zawadi ambazo zimetolewa kwa wachezaji.
Mshindi Abdallah Yusuph Idd toka Lugalo club wa Mwl Nyerere masters golf 2012 akiwa na mgeni wafadhili NMB na uongozi wa gofu Gymkhana
No comments:
Post a Comment