CNN) -- Liverpool inakabiliwa na matatizo katika nafasi ya ushambuliaji baada ya Fabio Borini kuambiwa atakaa nje kwa miezi miatu ilikuuguza majeraha .
Borini, alisaini wakati wa kiangazi kwa ada ya uhamisho wa $17million kutoka ROMA atakwenda kufanyiwa upasuaji mdogo kwenye mguu na atarejea kiwanjani mwakani Mshambuliaji huyo wa italia aliumia katika mechi ya ligi ya premier dhidi ya Manchester kabla ya kujitonesha katika majukumu ya timu ya taifa .
No comments:
Post a Comment